Shinyanga (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB
No edit summary
Mstari 30:
Shinyanga huwa na kituo cha reli kwenye njia ya reli kutoka Mwanza kwenda Tabora; kwa hiyo imeunganishwa na reli ya kati Dar es Salaam - Tabora - Kigoma. Kuna uwanja wa ndege mdogo. Mji unapitiwa na barabara ya lami kutoka Mwanza kwenda Tabora.
 
==Utamaduni==
Wakazi wengi hupendelea ngoma za asili pamoja na michezo ya mbio za baiskeli, kwani ndio utamaduni wa wasukuma.
 
Pia, shinyanga ni moja ya mikoa ambayo vijana wengi wako katika mlengo wa muziki wa Hip Hop,
wengi wao wakifanya harakati tofauti kwa ajili ya ukombozi.
 
Moja ya wanamuziki maarufu ni Noorah, Ibrah Mpanduji, na [[Big.com]] ambao wote wanafanya mahadhi ya Hip Hop.
==Marejeo==
{{marejeo}}