Waikizu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 973799 lililoandikwa na 41.59.251.38 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 5:
Watu wa jamii hiyo hujihusisha na [[shughuli]] za [[kilimo]] na [[ufugaji]] ingawa pia [[uwindaji]] ulikuwa ukifanyika enzi za kale katika [[mbuga]] za [[wanyama]].
 
Waikizu ni watu jasiri sana na watu ambao wanalinda [[utamaduni]] wao dhidi ya mabadiliko mbalimbali yanayotokea katika mazingira. Moja ya sifa za waikizu wavumilivu na lugha yao inafanana sana na lugha ya wazanaki na wakurya
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}