Waikizu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Watu wa jamii hiyo hujihusisha na [[shughuli]] za [[kilimo]] na [[ufugaji]] ingawa pia [[uwindaji]] ulikuwa ukifanyika enzi za kale katika [[mbuga]] za [[wanyama]].
 
Waikizu ni watu jasiri sana na watu ambao wanalinda [[utamaduni]] wao dhidi ya mabadiliko mbalimbali yanayotokea katika mazingira. Moja ya sifa za waikizu wavumilivu na lugha yao inafanana sana na lugha ya wazanaki na wakurya na asili ya lugha hizi tatu in Moja ila kuna utofauti Mdogo wa lahajana pia waikizu ni wakulima zao kuu la biashara ni pamba na zao la chakula ni mahindi,mihogo(ugali we udaga) na wanajari sana mila zao .na pia kuna watu maarufu kama waziri mkuu wa zamani ndugu Joseph sinde warioba wa Tanzania
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}