Usanii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:קולנוע אורדע - אתרי מורשת במרכז הארץ - רמת גן 2015 (10).JPG|thumb|Usanii]]
'''Usanii''' ni [[neno]] lenye maana pana sana. Kwa kifupi ni [[ubunifu]] wa vitu mbalimbali unaofanana na [[uumbaji]].
 
Mtu anayejishughulisha na usanii huitwa '''msanii''', na kile alichokibuni au kukiumba huitwa [[sanaa]].
 
Wasanii wengi wanaamini kuwa [[Mungu]] ni msanii mkubwa wa kwanza, kwa sababu ndiye aliyeumba vitu vyote, ambavyo wasanii, hasa wa [[uchoraji]], huviiga na kuvibadili kidogo. Hapa ndipo ubunifu unapochukua nafasi katika usanii.
Mstari 18:
Hii ni maana ya usanii au sanaa kwa kifupi, lakini siku hizi imetokewa na wezi wa maneno au kwa lugha rahisi ma[[tapeli]] kuitwa wasanii, kwa sababu wanabuni na kuumba maneno ya udanganyifu na kuyageuza kama ni ya ukweli ilhali si ya ukweli. Hii si sawa kabisa na wasanii wengi wanawataka watu waache kabisa kutumia neno hili kwa watu wa namna hiyo, na watu hao waitwe wezi au matapeli kama inavyofamika.
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|Art}}
 
[[Jamii:Utamaduni]]
[[Jamii:Sanaa]]
[[Jamii:Saikolojia]]