Demokrasia ni nini? : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== =Demokrasia ni nini? =='
 
dNo edit summary
Mstari 1:
== =Demokrasia ni nini? ==
'''Demokrasia''' (kutoka neno la [[Kigiriki]] δημοκρατία, ''dēmokratía'', maana yake ''utawala wa watu'': δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake utawala) ni aina ya [[serikali]].
 
Neno hilo lilitumika kuanzia [[karne ya 5 KK]] kuelezea mtindo wa utawala uliotumika katika [[Athene]] na [[miji]] mingine kadhaa ya [[Ugiriki]], kinyume cha ἀριστοκρατία, aristokratía, "utawala wa masharifu".
 
Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo wananchi wote ni sawa mbele ya sheria na wanashiriki katika kufanya maamuzi ya kitaifa juu ya masuala ya umma. Wakati mwingine wananchi hushiriki moja kwa moja - hii ina maana kwamba wao hupiga kura moja kwa moja kwenye masuala kama vile sheria na katika chaguzi. Wakati mwingine huwakilishwa na viongozi wao waliowachagua.
 
Ni utawala wa watu na watawala hutawala kwa ridhaa ya watu
 
== Aina za Demokrasia ==
i. Demokrasia ya moja kwa moja(Direct Democracy)
 
ii. Demokrasia Shirikishi(Representative Democracy)
 
== Misingi ya Demokrasia ==