Demokrasia ni nini? : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 6:
Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo wananchi wote ni sawa mbele ya sheria na wanashiriki katika kufanya maamuzi ya kitaifa juu ya masuala ya umma. Wakati mwingine wananchi hushiriki moja kwa moja - hii ina maana kwamba wao hupiga kura moja kwa moja kwenye masuala kama vile sheria na katika chaguzi. Wakati mwingine huwakilishwa na viongozi wao waliowachagua.
 
Ni utawala wa watu na watawala hutawala kwa ridhaa ya watu.
 
Kwa hiyo kwa kifupi Demokrasia ni ni mfumo unatoa fursa ya madaraka kwa umma moja kwa moja au kutokana na kuwakilishwa.
== Aina za Demokrasia ==
 
== ===Aina za Demokrasia ==
# Demokrasia ya moja kwa moja(Direct Democracy) '''Demokrasia ya moja kwa moja''' ni aina ya [[demokrasia]] ambayo wananchi wote wanaweza kushiriki katika kuamua masuala ya kisiasa, kijamii, kisheria, na kiuchumi bila kutumia chombo cha uwakilishi kama vile [[bunge]]. Uwezo huu wa wananchi kutoa maamuzi unaweza kuwapa wananchi hata uwezo wa kimahakama ingawa mara nyingi wananchi hupewa uwezo wa kutunga au kupitisha sheria tu.Demokrasia ya moja kwa moja ni tofauti na demokrasia inayofuatwa katika nchi nyingi duniani hivi sasa ambapo wananchi huchagua wawakilishi wao katika [[uchaguzi]].
== Demokrasia ya moja kwa moja(Direct Democracy) ==
# . Demokrasia Shirikishi(Representative Democracy) Demokrasia Shirikishi wachache hupewa dhamana na wengi katika uwakilishi wa jamii katika maamuzi. Wachache huchaguliwa na wengi kwa njia ya Demokrasia huru na haki kwa kufuata Katiba ya nchi hiyo. Mfano: Wa[[bunge]] huwakilisha wananchi wao katika kuleta maendeleo na kuishauri serikali juu ya maendeleo ya nchi yao.
ii. Demokrasia Shirikishi(Representative Democracy)
 
== Misingi ya Demokrasia ==