Everest (mlima) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Everest kalapatthar crop.jpg|thumb|200px|Mlima Everest]]
'''Mlima Everest''' ni [[mlima]] mkubwa kabisa [[duniani]], mwenyewenye [[kimo]] cha 8,848 [[m]] 8,848 [[juu ya UB]]. Ni sehemu ya [[safu ya milima]] ya [[Himalaya]].
 
[[Kilele]] chake kipo katika mpaka wa [[Nepal]] na [[China]] ([[Tibet]]).
'''Mlima Everest''' ni mlima mkubwa kabisa duniani mwenye kimo cha 8,848 [[m]] [[juu ya UB]]. Ni sehemu ya safu ya milima ya [[Himalaya]].
 
Watu wa kwanza wa kufika kwenye kilele walikuwa [[Edmund Hillary]] wa [[New Zealand]] na [[sherpa]] [[Tenzing Norgay]] wa Nepal tarehe [[29 Mei]] [[1953]].
Kilele chake kipo mpaka wa [[Nepal]] na [[China]] ([[Tibet]]).
 
Watu wa kwanza wa kufika kwenye kilele walikuwa [[Edmund Hillary]] wa New Zealand na [[sherpa]] [[Tenzing Norgay]] wa Nepal tarehe [[29 Mei]] [[1953]].
 
== Jina ==
Wenyeji upande wa Nepal huuita mlima "Sagarmatha" (सगरमाथा, Mungu mama wa anga) na majirani upande wa Tibet huuita "Qomolangma" („Mama"Mama wa dunia").
 
[[Wazungu]] waliokuwa wa kwanza wa kuchora [[ramani]] ya sehemu zile wakauita mwaka [[1852]] „mlima"mlima XV“. Jina la Everest lilianza kutumiwa na [[Waingereza]] tangu mwaka [[1865]] kwa heshima ya Sir [[George Everest]] aliyekuwa mpimaji mkuu wa ramani wa [[Uingereza]] kwa sababu alikuwa ameonyesha bidii kubwa katika upimaji wa [[Uhindi wa Kiingereza]].
 
{{mbegu-jio}}
Wazungu waliokuwa wa kwanza wa kuchora ramani ya sehemu zile wakauita mwaka [[1852]] „mlima XV“. Jina la Everest lilianza kutumiwa na Waingereza tangu [[1865]] kwa heshima ya Sir George Everest aliyekuwa mpimaji mkuu wa ramani wa [[Uingereza]] kwa sababu alikuwa ameonyesha bidii kubwa katika upimaji wa [[Uhindi wa Kiingereza]].
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Milima]]
[[Jamii:Milima ya Asia]]
[[Jamii:Himalaya]]
[[Jamii:Nepal]]
[[Jamii:Tibet]]
[[Jamii:Uchina]]