Biblia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Gutenberg Bible.jpg|thumb|right|300px|Biblia mojawapo iliyochapwa na Gutenberg.]]
'''Biblia''' ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya [[dini]] ya [[Uyahudi]] na hasa ya [[Ukristo]]. Neno limetokana na [[lugha]] ya [[Kigiriki]] ambayo ndani yake '''βιβλία''' (''biblia'') ina maana ya "vitabu" ikiwa ni uwingi wa '''βιβλος''' (''biblos''). Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000 hivi. Hivyo Biblia ni tofauti na vitabu vingine kwa sababu biblia iliandikwa na watu mbalimbali ambao hawakuwa pamoja nawala hawakuandika kwa wakati mmoja, lakini vitabu vyote vimekusanywa na kuunda kitabu kimoja cha Biblia.inasemekana Inasemekana kwamba "Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu kwa uwezo wa Mungu"[[Biblia|Mungu]]".
 
Tunaweza kutofautisha:
Mstari 21:
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Biblia|*]]
 
[[cy:Y Beibl]]
[[ms:Kitab Bible]]
[[ng:Ombimbeli]]
[[scn:Bibbia cristiana]]
[[ty:Bibilia]]
[[yi:בייבל]]
[[yo:Bíbélì Mimọ]]