Sao Tome na Principe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 60:
Visiwa vyote ni vilele vya [[milima]] ambayo ni sehemu ya safu za [[volkeno]] zilizokua kuanzia msingi wa [[bahari]] hadi kufikia usoni pake. Volkeno hizi ni zimwe, si hai tena.
 
'''São Tomé''' ndicho kisiwa kikubwa, chenye takriban [[asilimia]] 90 ya watu wote wa nchi. Kisiwa hicho kina [[urefu]] wa rasi km 48 na [[upana]] wa km 32. [[Kimo]] cha milima yake hufikia [[mita]] 2,024 [[juu ya UB]]. Sao Tome iko kaskazini kidogo kwa mstari wa [[ikweta]].
 
[[Jina]] la Sao Tome lamaanisha "[[Mtume Thoma|Mtakatifu Thomas]]" kwa sababu [[Wareno]] walifika huko mara ya kwanza siku ya Mt. Thomas katika [[kalenda]] ya [[Kanisa Katoliki]].