Sao Tome na Principe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 62:
'''São Tomé''' ndicho kisiwa kikubwa, chenye takriban [[asilimia]] 90 ya watu wote wa nchi. Kisiwa hicho kina [[urefu]] wa km 48 na [[upana]] wa km 32. [[Kimo]] cha milima yake hufikia [[mita]] 2,024 [[juu ya UB]]. Sao Tome iko kaskazini kidogo kwa mstari wa [[ikweta]].
 
[[Jina]] la Sao Tome lamaanishalinamaanisha "[[Mtume Thoma|Mtakatifu Thomas]]" kwa sababu [[Wareno]] walifika huko mara ya kwanza siku ya Mt. Thomas katika [[kalenda]] ya [[Kanisa Katoliki]].
 
Kisiwa cha pili, jina lake ni '''Príncipe''', yaani "Mfalme mdogo" au "Mwana wa mfalme"; kina urefu wa km 16 na upana wa km 6. Milima yake hufikia mita 927 juu ya UB.