21
edits
Kadiri ya [[Biblia]], [[binadamu]] ameumbwa “kwa mfano wa Mungu” (Mwa 1:27), mwenye [[roho]] isiyokufa.
Binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu kadiri ya Biblia na Adamu.
Ameshirikishwa naye ukuu juu ya viumbe vyote vinavyoonekana.
Penye nia pana njia hata ya kuelekea [[utakatifu]] utakaokamilika katika [[uzima wa milele]].
Binadamu amekabidhiwa na Mungu [[dunia]], lakini hasa amekabidhiwa nafsi yake mwenyewe. Itamfaa nini kujua na kutawala [[ulimwengu]], asipojijua na kujitawala kweli?
== Binadamu na elimunafsia ==
|
edits