Tofauti kati ya marekesbisho "Uingereza"

No change in size ,  miaka 5 iliyopita
d (Removing Link FA template (handled by wikidata))
 
=== Uvamizi wa Waanglia-Saksoni ===
Katika karne za 5 naya 6 BK makabila ya [[Kigermanik]] walivamia kisiwa hasa [[Wasaksoni]], [[Waanglia]] na [[Wadenmark]]. Walileta lugha zao za Kigermanik zilizochukua nafasi ya lugha ya Wabritania.
 
Wabritania na Waroma waliokuwa wamebaki walihamia maeneo ya kando kama Welisi au [[Cornwall]] au kuvuka mfereji wa Uingereza kwenda Britania Ndogo (Kiingereza:Brittany; Kifaransa: Bretagne).