Brazil : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 54:
}}
 
'''Brazil''' ni nchi kubwa ya [[Amerika ya Kusini]] na pia ni nchi yenye wakazi wengi kushinda nchi zote za [[bara]] hilo. Eneo lake ni karibu nusu ya bara lote.
 
Imepakana na [[Uruguay]], [[Argentina]], [[Paraguay]], [[Bolivia]], [[Peru]], [[Kolombia]], [[Venezuela]], [[Guyana]], [[Surinam]] na eneo la [[Guyana ya Kifaransa]].