Binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 48:
 
== Binadamu kadiri ya Biblia ==
 
Kadiri ya [[Biblia]], [[binadamu]] ameumbwa “kwa mfano wa Mungu” (Mwa 1:27), mwenye [[roho]] isiyokufa.
Binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu kadiri ya Biblia na Adamu.
Ameshirikishwa naye ukuu juu ya viumbe vyote vinavyoonekana.
 
Line 67 ⟶ 65:
Anapopitia misukosuko ya [[ujana]] asikubali kushindwa na [[vionjo]] wala asikate tamaa, kwa kuwa Mungu amemuumba atawale hata nafsi yake na [[mwili]] wake.
 
BinadamuMtu wa kwanza kuumbwa na Mungu kadiri ya Biblia naalikuwa Adamu, akifuatwa na [[Eva]] [[Mke|mkewe]]. Hapo
“Mungu aliona kila kitu alichokifanya, na tazama ni chema sana” (Mwa 1:31).