10,604
edits
d |
|||
== Binadamu kadiri ya sayansi ==
[[Sayansi|Kisayansi]] jina hilo linaweza kutumika kwa maana ya '''''Homo sapiens''''' ili kumtofautisha na viumbe wengine wa [[jenasi]] [[Homo]] ambao wote walitoweka walau miaka 12,000 hivi iliyopita.
Watu wote walioko leo hii ni [[spishi]] ileile na tofauti zinazoonekana kati ya maumbile yao katika sehemu mbalimbali za dunia ni kidogo tu.
|