Binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 33:
Hata hivyo, miaka hii ya mwisho imegundulika katika baadhi ya wanaume wenye asili ya kabila la [[Wambo]] ([[Camerun]]) aina ya kromosomu Y tofauti sana na ile ya wanaume wengine wote waliowahi kupimwa, kiasi cha kukadiria imetofautiana miaka 350,000 hivi iliyopita.
 
Vilevile, upimaji wa [[DNA ya mstari]] kwa jumla umeonyesha uwezekano wa kwamba baadhi ya binadamu wa leo, wale wasio wa kusini kwa [[Sahara]], wana asilimia 1-6 ya urithi wa kibiolojia kutoka kwa aina nyingine za homo, hususan [[Homo neanderthalensis]], ile ya [[pango la Denisova]], ile iliyorithiwa na baadhi ya watu wa [[visiwa vya Andamane]] ([[India]]) na nyingine kutokailiyorithiwa Afrikana baadhi ya watu wa [[Kamerun]] (labdaAfrika ya kati).
 
Kama hao waliweza kweli kuzaliana na [[Homo sapiens]] maana yake walikuwa [[spishi]] moja na yeye. Hapo asili ya binadamu inatakiwa kuhesabiwa ya zamani zaidi sana kuliko miaka 200,000 iliyofikiriwa kwanza.
 
== Uenezi wa binadamu ==