Himalaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 126 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5451 (translate me)
No edit summary
Mstari 3:
'''Himalaya''' ni [[safu ya milima]] katika [[Asia]] upande wa kaskazini ya [[Uhindi]]. Ng'ambo ya Himalaya ni nyanda za juu za [[Tibet]]. Himalaya ina milima mikubwa duniani. Milima 14 mikubwa kabisa ya dunia iko Himalaya.
 
Kati ya milima mikuwba ni [[Mount Everest]], [[K2]] na [[Nanga Parbat]]Ndani ya milima hii ya Himalaya kuna sehemu ambayo ni ya tatu kwa ukubwa duniani kwa kuwa na sehemu kubwa yenye barafu na theluji baada ya Antaktika na Aktiki.<ref name=pbs_nature/>.
 
{{mbegu-jio-Asia}}