Himalaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Himalayas.jpg|thumb|200px|Himalaya]]
 
'''Himalaya''' ni [[safu ya milima]] katika [[Asia]] upande wa [[kaskazini]] yawa [[Uhindi]]. Ng'ambo ya Himalaya ni [[nyanda za juu]] za [[Tibet]]. Himalaya ina milima mikubwa [[duniani]]. Milima 14 mikubwa kabisa ya dunia iko Himalaya.
 
Kati ya milima mikuwba ni [[Mount Everest]], [[K2]] na [[Nanga Parbat]].

Ndani ya milima hii ya Himalaya kuna sehemu ambayo ni ya tatu kwa ukubwa duniani kwa kuwa na sehemu kubwa yenye [[barafu]] na [[theluji]] baada ya [[Antaktika]] na [[Aktiki]].<ref name=pbs_nature/>.
 
{{mbegu-jio-Asia}}