Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 64:
 
== Historia ==
===Wakati wa ukoloni===
''Tazama pia: [[{{main|Uhindi wa Kiingereza]]''}}
[[Picha:European settlements in India 1501-1739.png|thumb|350px|Vituo vya nchi za Ulaya huko Uhindi miaka [[1501]]-[[1937]]]]
'''Uhindi wa Kiingereza''' ni kipindi cha [[historia]] ambapo nchi za [[Bara Hindi]] ama zilitawaliwa na [[Uingereza]] moja kwa moja ama zilikuwa chini ya usimamizi wa Uingereza kama [[nchi lindwa]].
 
Utawala huo ulienea juu ya Uhindi wa leo pamoja na [[Pakistan]], [[Bangladesh]], [[Nepal]] na kwa muda pia juu ya [[Burma]] ([[Myanmar]]).
 
Utawala wa Kiingereza ulikuwa na vipindi viwili vifuatavyo:
 
==== Utawala wa [[Kampuni ya Kiingereza kwa Uhindi wa Mashariki]] (British East India Company) ====
Tarehe [[31 Desemba]] [[1600]] [[malkia]] [[Elizabeth I]] alitoa hati ya ulinzi wa kifalme kwa [[biashara]] kati ya Uingereza na "Uhindi wa Mashariki".
 
Kampuni iliyopokea hati hii ilikuwa kundi la [[mfanyabiashara|wafanyabiashara]] na [[tajiri|matajiri]] wa [[London]] waliovutwa na [[utajiri]] wa nchi za mashariki na hasa na [[faida]] kubwa mikononi mwa wafanyabiashara [[Ureno|Wareno]] na [[Uholanzi|Waholanzi]] waliotangulia katika biashara kati ya [[Ulaya]] na nchi za [[Asia ya Kusini]].
 
Kampuni ilishindana kibiashara na kivita na wafanyabiashara wa [[Ureno]], wa [[Uholanzi]] na wa [[Ufaransa]]. Iliweza kununua au kuvamia vituo vya biashara na kujenga maboma yake kuanzia mwaka [[1644]] huko [[Bombay]], [[Madras]] na penginepo.
 
Mwaka [[1717]] kampuni ilipata kibali cha mtawala wa [[Moghul]] cha kusamehewa [[kodi]] kwa biashara katika [[Ubengali]].
 
Tangu mwaka [[1680]] kampuni ilianzisha [[jeshi]] lake la [[askari|maaskari]] Wahindi na kuwa mshiriki katika [[siasa]] ya Uhindi.
 
Kati ya miaka [[1756]] na [[1763]] Uingereza pamoja na mataifa mengine ya Ulaya ilishiriki katika [[Vita vya miaka saba]] viliyokuwa vita vya kwanza vya kimabara. Waingereza walipigana pamoja na [[Prussia]] dhidi ya [[Austria]], [[Ufaransa]], [[Urusi]] na [[Uswidi]]. Jeshi la kampuni liliendesha vita hivyo dhidi ya maeneo ya Ufaransa katika Uhindi. Wafaransa walishindwa wakabaki na vituo vidogo tu katika miji kama [[Pondicherry]] na [[Mahe]] lakini kampuni iliongeza maeneo yake katika Uhindi.
 
Baada ya mwaka [[1757]] Kampuni ya Kiingereza ilikuwa enzi muhimu, iliweza kushindana hata na nguvu ya Moghul. Ilianza kutawala sehemu kubwa za Uhindi wa Kusini pamoja na Ubengali.
 
Kampuni ilitumia mbinu mbili:
* mikataba na madola ya watawala wa Kihindi waliokubali kupokea [[balozi|mabalozi]] wa kampuni kwao waliokuwa kama washauri wakuu wa [[Maharaja]] au [[Nawab]] wa eneo; siasa ya nje na mambo ya jeshi ziliwekwa chini ya kampuni
* uvamizi na utawala wa moja kwa moja, maeneo yale yalikuwa mali ya kampuni.
 
Mafaniko makubwa ya kampuni yalisababisha mgogoro huko Uingereza na [[sheria]] mbalimbali za [[bunge la Uingereza]] zililenga kuongeza athira ya [[serikali]] ya Uingereza juu ya shughuli za kampuni.
 
Katika [[karne ya 19]] kampuni ikawa mtawala wa sehemu kubwa za Uhindi, ama kwa njia ya mikataba na watawala wa kienyeji au kwa utawala wa moja kwa moja. Kampuni ilianza kubadilisha uso wa India kujenga [[reli]] na kuanzisha [[mawasiliano]] wa kisiasa kwa huduma ya [[posta]] na pia [[simu]] za [[telegrafi]].
 
Mwaka [[1857]] ilitokea uasi wa wanajeshi Wahindi wa jeshi la kampuni uliosababisha na mkasi wa mabadiliko na dharau ya viongozi Waingereza kwa [[utamaduni]] wa wenyeji. Utawala wa kampuni ulianza kuporomoka; uliokolewa tu kwa kupeleka Uhindi wanajeshi kutoka Uingereza. Uasi ulikomeshwa kwa mabavu.
 
Lakini kuingilia kati kwa serikali ya Uingereza kulikuwa mwisho wa utawala wa kampuni. Mwaka [[1858]] serikali ya London ilichukua [[madaraka]] yote ya kampuni ikafanya Uhindi kuwa [[koloni]] la [[taji]] la Uingereza.
[[Picha:Madras Prov South 1909.jpg|thumb|350px|Uhindi wa Kusini au Jimbo la Madras mnamo [[1909]]; [[nyekundu]]:koloni la Uingereza; [[njano]]: madola ya watawala Wahindi chini ya Uingereza (nchi lindwa)]]
 
==== Utawala wa kiserikali kati ya [[1858]] hadi [[1947]] ====
Kuanzia mwaka [[1858]] Uhindi ulitawaliwa kama [[koloni]] la Uingereza. [[Kaisari]] wa mwisho wa Moghul [[Bahadur Shah Zafar II]] aliondolewa nchini. [[Malkia]] [[Viktoria wa Uingereza]] alichukua [[cheo]] chake akaitwa "[[Kaisari]] wa Uhindi" (kwa [[Kiingereza]]: "Empress of India"; kwa [[Kihindi]]: "Padishah-e-Hind") akamuachia [[utawala]] [[gavana]] wake aliyepewa cheo cha "[[makamu wa mfalme]]" (Vice-Roy).
 
Muundo wa utawala uliendelea: maeneo ya kampuni yalikuwa makoloni ya Uingereza. Maeneo ya watawala Wahindi yalibaki yalivyo lakini kila [[Maharaja]] au [[Nawab]] alipaswa kula [[kiapo]] cha [[utii]] kwa malkia kama Kaisari au malkia mkuu wa Uhindi na kumkubali mshauri Mwingereza katika [[jumba]] lake kama mwakilishi wa Uingereza.
 
Mwisho wa [[karne ya 19]] [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] zilianza upya. Mwaka [[1885]] [[Chama cha kisiasa|chama]] cha INC ([[Indian National Congress]]) kiliundwa na [[Wahindu]] na [[Waislamu]] pamoja waliodai uhuru. Mwaka [[1906]] viongozi Waislamu walitoka katika INC na kuunda "[[Shirikisho la Waislamu]]".
 
Mwaka [[1917]] Uingereza ulitamka ya kwamba ulitaka kuelekea polepole hali ya kujitawala kwa Wahindi. Viongozi wa wenyeji hawakuridhika na mkasi wa mabadiliko. Chini ya [[uongozi]] wa [[Mahatma Ghandi]] mwendo wa kupigania uhuru bila mabavu ulipata nguvu. Ghandi alipigania hasa [[umoja]] wa Wahindu na Waislamu lakini alipingwa na viongozi wenye [[itikadi kali]] wa pande zote mbili.
 
Baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] Waingereza walikubali kujiondoa katika Uhindi. Swali kubwa lilikuwa kama nchi itabaki kama nchi moja au kama maeneo ya Waislamu yatajitenga.
 
===Baada ya uhuru===
Tarehe 14/[[15 Agosti]] [[1947]] utawala wa Uingereza ulikwisha. Bara Hindi iligawanywa katika nchi mbili za [[Uhindi]] na [[Pakistan]]. Mgawanyo ulikuja na [[vita]] na kumwaga kwa [[damu]] nyingi.
 
Tarehe [[30 Januari]] [[1948]] Ghandi mwenyewe aliuawa na Hindu mkali aliyemchukia kwa sababu alitaka [[usawa]] wa Waislamu na Wahindu.
 
==Mgawanyiko wa kiutawala==