Juma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Juma''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) au '''wiki''' (kutoka [[Kiingereza]] "week") ni kipindi cha [[siku]] [[saba]]. Kila siku ina [[jina]] lake.
 
Katika [[mwaka]] wa [[kalenda ya Gregori]] mna majuma 52 pamoja na siku moja au mbili za ziada. [[Hesabu]] ya majuma inaendelea mfululizo bila ya kuanza upya wakati wa [[mwaka mpya]].
 
Ufuatano wa jumamajuma haulingani na mgawanyo mwingine wa wakati kwa njia ya [[mwezi (wakati)|miezi]] au mwaka.
 
== Mapokeo ya Kiyahudi-Kikristo ==
Asili ya juma ni katika [[utamaduni]] wa kale wa [[Mashariki ya Kati]] tangu [[Babiloni]]. Imeenea [[duniani]] kote kupitia [[Biblia]] na [[desturi]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]].
 
Ufuatano wa siku katika [[mapokeo]] hayahayo huanza na Jumapili. Majina ya siku ni kama yafuatayo:
* [[Jumapili]] ([[Siku ya Bwana|Dominika]])
* [[Jumatatu]]
* [[Jumanne]]
Line 14 ⟶ 15:
* [[Alhamisi]]
* [[Ijumaa]]
* [[Jumamosi]] ([[Sabato]])
 
Katika mwaka juma moja la [[Machi]] mwishoni au la [[Aprili]] linaadhimishwa na [[Wakristo]] wengi kama [[Juma kuu]], ambapo wanaadhimisha matukio makuu ya [[imani]] yao kadiri ya [[historia ya wokovu]], yaani [[mateso]], [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Yesu Kristo]].
 
Siku za Jumamosi na Jumapili mara nyingi huitwa "[[wikendi]]" ''(kutoka [[Kiingereza]]: "weekend", yaani mwisho wa juma)''. Hata hivyo katika mapokeo hayo Jumapili ni mwanzo wa wiki mpya, si mwisho wake.
 
== Majina ya siku kwa Kiswahili ==
Majina ya siku tano kwa Kiswahili ni ya [[namba]] zinazoanza kuhesabiwa baada ya siku ya Ijumaa (ambayo ni siku ya [[sala]] kuu katika [[Uislamu]]): Ijumaa - Jumamosi - Jumapili - Jumatatu - Jumanne - Jumatano.
 
Ijumaa - Jumamosi - Jumapili - Jumatatu - Jumanne - Jumatano.
Alhamisi na Ijumaa ni majina ya [[lugha]] ya [[Kiarabu]] inayofuata mapokeo ya Kiyahudi kuhusu majina ya siku.
 
Hivyo "Alhamisi" ina maana ya "siku ya tano" (baada ya Jumamosi inayoitwa "sabat" kwa Kiarabu, sawa kama "shabbat" (=[[sabato]]) kwa [[Kiebrania]] (lugha ya [[Wayahudi]]).
 
"Ijumaa" ni matamshi ya [[Kiswahili]] ya jina la Kiarabu la "jum'a" inayomaanisha "siku ya mkutano" (= ya kusali pamoja).
{{Siku za juma}}
{{mbegu-sayansiutamaduni}}
 
[[Jamii:Kalenda]]