Binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 25:
Watu wote walioko leo hii ni [[spishi]] ileile na tofauti zinazoonekana kati ya maumbile yao katika sehemu mbalimbali za dunia ni kidogo tu.
 
Utafiti juu ya [[DNA]] umethibitisha kwamba binadamu wote wametokana na watu waliokuwepo [[Afrika]] walau miaka 200250,000 hivi iliyopita.
 
Kwa namna ya pekee, upimaji wa [[DNA ya mviringo]], ambayo kila mmoja anarithi kwa mama tu, ulionyesha kuwa binadamu wote waliopo duniani wanachanga mama mmoja aliyewahi kuishi miaka 130,000 hivi iliyopita.
Mstari 31:
Halafu upimaji wa [[kromosomu Y]], ambayo kila mwanamume anarithi kwa baba tu, ulionyesha kuwa wanaume wote waliopo duniani wanachanga baba mmoja aliyewahi kuishi walau miaka 70,000 hivi iliyopita, kidogo kabla ya baadhi ya watu kuanza kuhama bara la Afrika na kuenea [[Asia]] labda kufuatia pwani za [[Bahari ya Hindi]].
 
Hata hivyo, miaka hii ya mwisho imegundulika katika baadhi ya wanaume wenye asili ya kabilamakabila laya [[Wabangwa]] na [[Wambo]] ([[Camerun]], [[Afrika ya Kati]]) aina ya kromosomu Y tofauti sana na ile ya wanaume wengine wote waliowahi kupimwa, kiasi cha kukadiria imetofautiana miaka 350,000 hivi iliyopita.
 
Vilevile, upimaji wa [[DNA ya mstari]] kwa jumla umeonyesha uwezekano wa kwamba baadhi ya binadamu wa leo, wale wasio wa kusini kwa [[Sahara]], wana asilimia 1-6 ya urithi wa kibiolojia kutoka kwa aina nyingine za homo, hususan [[Homo neanderthalensis]], ile ya [[pango la Denisova]], na ile iliyorithiwa na baadhi ya watu wa [[visiwa vya Andaman]] ([[India]]) na nyingine iliyorithiwa na baadhi ya watu wa [[Kamerun]] ([[Afrika ya Kati]]).
 
Kama hao waliweza kweli kuzaliana na [[Homo sapiens]] maana yake walikuwa [[spishi]] moja na yeye. Hapo asili ya binadamu inatakiwa kuhesabiwa ya zamani zaidi sana kuliko miaka 200,000 iliyofikiriwa kwanza.