Mawese : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 10:
 
== Mawese kutokana na kiini cha tunda ==
Aina ya pili ni mafuta yanayopatikana katika kiini cha tunda. Haya baadhi ya wenyeji huyaita mafuta ya mise. Mafuta hiihaya inayana halijoto ya kuyeyuka kwenye 26 – 28 C°. Hivyo kwa kawaida ni ni imara si majimaji. Inatumika katika viwanda vya vyakula lakini pia kwa [[majarini]]. IntumikaYanatumika pia sana katika madawa ya urembaji na madawa ya kusafishia. Hata viwanda vya kutengeneza [[alumini]] hutumia aina hii ya mawese. Kuna biashara kubwa ya viini vya mchikichi (mise) kwa sababu husafirishwa bila kuharibu mafuta ndani yake.
 
== Matatizo kutokana na matumizi makubwa ==