Manispaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
manisipaa kua manispaa
Mstari 1:
'''ManisipaaManispaa''' (ing. ''municipality'') ni [[mji]] mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake.
 
Madaraka haya ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya kimahali iliyochaguliwa na watu wa manisipaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu), kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la manisipaa na kupanga makisio yake yenyewe.
 
==ManisipaaManispaa za Tanzania==
Nchini [[Tanzania]] manisipaamanispaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.
 
Katika muundo wa utawala manisipaamanispaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manisipaa huitwa Halmashauri ya manisipaamanispaa (''Municipal Council'').
 
Manisipaa za Tanzania ni [[Bukoba (mji)|Bukoba ]], [[Dodoma (mji)|Dodoma ]], [[Iringa (mji)|Iringa ]], [[Kigoma (mji)|Kigoma ]], [[Lindi (mji)|Lindi ]], [[Morogoro (mji)|Morogoro ]], [[Moshi (mji)|Moshi ]], [[Mtwara (mji)|Mtwara ]], [[Musoma (mji)|Musoma ]], [[Shinyanga (mji)|Shinyanga ]], [[Singida (mji)|Singida ]], [[Songea (mji)|Songea ]], [[Sumbawanga (mji)|Sumbawanga ]], [[Tabora (mji)|Tabora ]].
 
Halafu kuna masisipaa tano ambazo ni sehemu ya majiji mawili.
*[[Jiji la Dar es Salaam]] limegawiwa kwa manisipaamanispaa (wilaya) tatu za [[Wilaya ya Kinondoni|Kinondoni]], [[Temeke]] na [[Ilala]].
*[[Jiji la Mwanza]] limegawiwa kwa manisipaamanispaa (wilaya) za [[Nyamagana]] na [[Ilemela]]