Baraza la Kiswahili la Taifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d gcache removed this entry
No edit summary
Mstari 1:
'''BAKITA''' ni kifupi chake cha '''Baraza la Kiswahili la Taifa''' nchini [[Tanzania]].

BAKITA ni chombo cha [[serikali]] chini ya [[wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo]].
Baraza hilo liliundwa na [[sheria]] ya [[bunge]] Na. 27 ya [[mwaka]] [[1967]] kwa [[shabaha]] ya kukuza, kuimarisha na kuendeleza [[Kiswahili]] hasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika marekebisho ya sheria hiyo yaliyofanyika mwaka [[1983]] kwa Sheria ya Bunge Na. 7, BAKITA limepewaimepewa uwezo wa kufuatilia na kusaidia ukuzaji wa Kiswahili katika nchi za nje pia.
 
Pamoja na Chama cha Kiswahili cha Taifa ([[CHAKITA]]) cha [[Kenya]] na wawakilishi kutoka [[Uganda]] BAKITA imeunda Baraza la Kiswahili la Afrika Mashariki ([[BAKAMA]]).
 
Pamoja na Chama cha Kiswahili cha Taifa ([[CHAKITA]]) cha Kenya na wawakilishi kutoka Uganda BAKITA imeunda Baraza la Kiswahili la Afrika Mashariki ([[BAKAMA]]).
==Majukumu ya BAKITA==
# Kukuza maendeleo ya matumizi ya [[lugha]] ya Kiswahili mahali pote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#Kushirikiana na vyombo vingine katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambavyo vinahusika na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili na kuratibu kazi zao.
#Kuhimiza matumizi ya Kiswahili katika shughuli za Serikali na kwa shughuli za [[umma]].
#Kuhimiza matumizi fasaha ya lugha ya Kiswahili na kuzuia upotoshaji wake.
#Kushirikiana na [[mamlaka]] yanayohusika katika kuanzisha [[tafsiri]] sanifu ya [[istilahi]] za Kiswahili.
#Kwa kushirikiana na vikundi vyovyote vya kimataifa, [[taasisi]], au kundi la watu, na watu binafsi, kufuatilia, kushauri na kuratibu shughuli zinazolenga kukuza Kiswahili.
#Kuchunguza [[vitabu]] vya au maandishi yaliyoandikwa na kufasiriwa katika Kiswahili na kuhakikisha kwamba lugha iliyotumika ni sanifu na inakubaliwa na Baraza.
#Kutoa [[huduma]] za tafsiri kwa mashirika, [[idara]], [[wizara]], Balozi[[balozi]] na watu binafsi
#Kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu ya Taifa kuthibitisha vitabu vya kiada vya Kiswahili kabla ya kuchapishwa, kwa ajili ya Taasisitaasisi za Elimuelimu.
#Kuratibu na kutoa huduma za [[ukalimani]] kwenye mikutano ya kitaifa na ya kimataifa ndani na nje ya nchi.
 
==ViungoKamusi vyaKuu Njeya Kiswahili==
Mwaka [[2015]] BAKITA ilifanikisha mradi wake wa kutunga [[kamusi]] mpya iliyoitwa [[Kamusi Kuu ya Kiswahili]].<ref>Ed. Longhorn, Nairobi, Kampala, Dar es Salaam 2015.</ref>
[http://www.bakita.go.tz/ Habari za serikali kuhusu BAKITA]
 
==Tanbihi==
[http://web.archive.org/web/20051225003107/www.kilinux.udsm.ac.tz/kiblog/documents/training/mtesigwa.pdf MRADI WA KUSWAHILISHA PROGRAMU HURIA - Utangulizi unaeleza historia ya BAKITA (PDF) ]
{{marejeo}}
 
==Viungo vya nje==
[http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2006/09/16/74510.html en: "Govt appoints new BAKITA members" (taarifa ya "Guardian" ya Dar es Salaam Septemba 2006]
*[http://www.bakita.go.tz/ Habari za serikali kuhusu BAKITA]
*[http://web.archive.org/web/20051225003107/www.kilinux.udsm.ac.tz/kiblog/documents/training/mtesigwa.pdf MRADI WA KUSWAHILISHA PROGRAMU HURIA - Utangulizi unaeleza historia ya BAKITA (PDF) ]
*[http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2006/09/16/74510.html en: "Govt appoints new BAKITA members" (taarifa ya "Guardian" ya Dar es Salaam Septemba 2006]
 
[[Category:Kiswahili]]