Tofauti kati ya marekesbisho "Ulaya"

29 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Grossgliederung Europas.png|thumb|300px|Kanda za Ulaya]]
[[Picha:First.Crusade.Map.jpg|thumb|300px|Ulaya mwaka 1000 hivi]]
'''Ulaya''' (asili ya jina ni neno la [[Kiarabu]] ولاية, ''wilaayatun''; inaitwa pia '''Uropa''') ni [[bara]] lenye eneo la [[km²]] 10,600,000 tu, lakini wakazi ni [[milioni]] 700.
 
Wengi wenye asili ya Ulaya wakati wa [[ukoloni]] walitawanyika [[duniani]], hasa [[Amerika]], wakiathiri kote upande wa [[lugha]], [[utamaduni]] na [[dini]].