Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+viungo vya nje
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Arabic_Text.png|thumbnail|200px|"al-`arabiyya" - "Kiarabu"]]
'''Lugha ya Kiarabu''' ni mojawapo ya [[lugha]] muhimu sana [[duniani]], kwa sababu ya kutumika kwake kama lugha ya [[dini|kidini]] kwa mamilioni ya [[uislamu|WaslamuWaislamu]] duniani, na kwa kutumika kwake na zaidi ya nchi [[ishirini na mbili]] zilizokuwemo ndani ya [[Jumuiya ya Nchi za Kiarabu]], mbali na kuwa ni lugha ya kale iliyokuwa na athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi ulimwenguni na juu ya [[ustaarabu]] na [[utamaduni]] wa watu na [[Kabila|makabila]] tofauti tofautitofautitofauti duniani.
 
'''Lugha ya Kiarabu''' ni mojawapo ya [[lugha]] muhimu sana duniani, kwa sababu ya kutumika kwake kama lugha ya [[dini|kidini]] kwa mamilioni ya [[uislamu|Waslamu]] duniani, na kwa kutumika kwake na zaidi ya nchi ishirini na mbili zilizokuwemo ndani ya [[Jumuiya ya Nchi za Kiarabu]], mbali na kuwa ni lugha kale iliyokuwa na athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi ulimwenguni na juu ya ustaarabu na utamaduni wa watu na makabila tofauti tofauti duniani.
 
Kiarabu kwa kawaida huandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]].
 
Lugha hii, ambayo leo imekubaliwa kama ni mojawapo ya [[lugha rasmi]] katikaza [[Umoja wa Mataifa]], Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, na [[Mkutano wa Kilele wa Kiislamu]], ni lugha yenye utajiri mkubwa wa [[msamiati|misamiati]] (maneno) na ufasihi mkubwa wa misemo na udhibiti mkubwa wa [[sarufi]] na nahau. Ni lugha iliyokusanya aina nyingi za [[mithalinahau]]. na ma[[fumbo]], na ina utamaduni mkubwa wa [[wimbo|nyimbo]] na ma[[shairi]] na misemo, nayo inakubaliwa na watu wengi duniani kuwa ni lugha yenye utamu wa [[matamshi]] na uzuri wa [[lafdhi]].
 
Ni lugha iliyokusanya aina nyingi za [[mithali]] na ma[[fumbo]], na ina utamaduni mkubwa wa [[wimbo|nyimbo]], ma[[shairi]] na misemo, nayo inakubaliwa na watu wengi duniani kuwa lugha yenye [[utamu]] wa [[matamshi]] na [[uzuri]] wa [[lafudhi]].
Kwa kuwa [[Qurani Tukufu]] na [[Hadithi za Mtume Muhammad]] na Mashairi ya zama za Ujahili ndio yenye kudhibiti lugha hii isiteteleke na kubadilika na kupotea kama nyingi katika lugha za ulimwengu, leo baada ya miaka zaidi ya elfu imebakia thabiti kama ilivyokuwa wakati ilipoteremshwa Qurani, na mabadiliko yoyote yaliyotokea hayana uhusiano na lugha yenyewe ya Kiarabu, bali yana uhusiano na lahaja na vilugha mbali mbali zinazotumika na Waarabu fulani katika sehemu fulani ya nchi au mji. Ama lugha rasmi ya Kiarabu basi imedhibitika kulingana na Qurani na Sunnah, ili maandishi haya yaendelee kufahamika milele na milele.
 
Kwa kuwa [[Qurani Tukufu]] na [[Hadithi za Mtume Muhammad]] na Mashairi ya zama za [[Ujahili]] ndio yenye kudhibiti lugha hii isiteteleke na kubadilika na kupotea kama nyingi katika lugha za ulimwengu, leo baada ya miaka zaidi ya [[elfu]] imebakia thabiti kama ilivyokuwa wakati ilipoteremshwailipoandikwa Qurani, na mabadiliko yoyote yaliyotokea hayana uhusiano na lugha yenyewe ya Kiarabu, bali yana uhusiano na [[lahaja]] na vilugha mbali mbalimbalimbali zinazotumika na Waarabu fulani katikawa sehemu fulani ya nchi au [[mji]]. Ama lugha rasmi ya Kiarabu basi imedhibitika kulingana na Qurani na [[Sunnah]], ili maandishi haya yaendelee kufahamika [[milele na milele]].
Leo, Kiarabu kinazungumzwa na watu ya zaidi ya milioni 200 kama lugha yao ya kwanza, na ni lugha ya sita ulimwenguni kwa wingi wa idadi ya wanayoitumia kila siku katika maisha yao, baada ya [[Kichina]] na [[Kihindi]] na [[Kihispania]] na [[Kiingereza]] na [[Kibengali]]. Umuhimu wa lugha hii unazidi kukuwa kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya mabara ya kale ([[Ulaya]] na [[Asia]]) na mabara mapya ya ulimwengu ([[Amerika ya Kaskazini]] na Kusini).
 
[[Picha:Arabic_speaking_world.png|thumbnail|500px|Ramani inaonyesha nchi ambako ni lugha rasmi ya pekee (kijani) au lugha rasmi pamoja na lugha nyingine (buluu)]]
Leo, Kiarabu kinazungumzwa na watu ya zaidi ya [[milioni]] 200 kama [[Lugha ya kwanza|lugha yao ya kwanza]], na ni lugha ya [[sita]] ulimwenguni kwa wingi wa idadi ya wanayoitumia kila siku katika [[maisha]] yao, baada ya [[Kichina]] na, [[Kihindi]] na, [[Kihispania]] na, [[Kiingereza]] na [[Kibengali]]. Umuhimu wa lugha hii unazidi kukuwa kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya mabara ya kale ([[Ulaya]] na [[Asia]]) na mabara mapya ya ulimwengu ([[Amerika ya Kaskazini]] na Kusini).
 
Umuhimu wa lugha hii unazidi kukua kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya [[Bara|mabara]] ya kale ([[Afrika]], [[Asia]] na [[Ulaya]]) na mabara mapya ya ulimwengu ([[Amerika ya Kaskazini]] na [[Amerika ya Kusini|Kusini]]).
[[Picha:Arabic_speaking_world.png|thumbnail|500px|[[Ramani]] inaonyesha nchi ambako Kiarabu ni lugha rasmi ya pekee (kijani) au lugha rasmi pamoja na lugha nyingine (buluu).]]
== Asili ya lugha ya Kiarabu ==
Kiarabu, pamoja na lugha ya [[Kiebrania]] (ya [[WayahudiUyahudi]]) na [[Kiaramu]] (ya [[Mashariki ya Kati]]) na [[Kiamhari]] (ya [[Ethiopia]]) zinatokana na asili moja ya [[lugha ya Kisemiti]]. Kuna lugha nyingi vile vile ambazo zinatokana na asili hii, kama [[Kiashuri]] na, [[Kifinisia]] na, [[Kibabili]] na kadhalika. Baadhi ya hizi lugha zimekufa au kuwa na wazungumziwazungumzaji wachache, na kwa hivyohiyo umuhimu wake umekuwa si mkubwa kama ulivyo umuhimu wa lugha ya Kiarabu.
 
== Aina za Kiarabu ==
Kuna aina [[tatu]] kubwa za lugha hii ya Kiarabu:
Kuna aina tatu kubwa za lugha hii ya Kiarabu: '''Kiarabu Fasihi''' ambacho kilikuwa kikitumika zama za Ujahili kabla ya kuja Uislamu, na kuendelea kutumika baada ya kuja Uislamu katika Qurani na Sunnah za Mtume Muhammad, '''Kiarabu Mamboleo''' ambacho kinatumika katika maandishi na mazungumzo rasmi baina ya Waarabu wote kwa jumla, na '''Kiarabu Lahaja''' ambacho kinatumika na watu maalumu katika sehemu fulani za nchi au vijiji, na ni lugha ya mahali tu kama vile Kiyemeni au Kimasri au Kishami au Kimaghribi, na lugha hizi au lahaja hizi zinakuwa zinatafautiana sana baina yao katika misamiati na matumizi.
*'''Kiarabu Fasihi''' ambacho kilikuwa kikitumika zama za Ujahili kabla ya kuja Uislamu, na kuendelea kutumika baada ya kuja Uislamu katika Qurani na Sunnah za Mtume [[Muhammad]],
*'''Kiarabu Mamboleo''' ambacho kinatumika katika maandishi na mazungumzo rasmi baina ya Waarabu wote kwa jumla, na
Kuna aina tatu kubwa za lugha hii ya Kiarabu: '''Kiarabu Fasihi''' ambacho kilikuwa kikitumika zama za Ujahili kabla ya kuja Uislamu, na kuendelea kutumika baada ya kuja Uislamu katika Qurani na Sunnah za Mtume Muhammad, '''Kiarabu Mamboleo''' ambacho kinatumika katika maandishi na mazungumzo rasmi baina ya Waarabu wote kwa jumla, na *'''Kiarabu Lahaja''' ambacho kinatumika na watu maalumu katika sehemu fulani za nchi au [[Kijiji|vijiji]], na ni lugha ya mahali tu, kama vile Kiyemeni au Kimasri au Kishami au Kimaghribi, na lugha hizi au lahaja hizi zinakuwa zinatafautianazinatofautiana sana baina yaoyake katika misamiati na matumizi.
 
== Aina na Shuwa ==
Nigeria
 
== Aina na Ouddai ==
Niger,Chad na AfricaAfrika ya Mashariki.
 
== Kiarabu fasihi ==
Kiarabu ni katika lugha ya zamani sana (tarehe yake inarudi nyuma zaidi ya miaka 2000), nayo pamoja na lugha nyenginezonyinginezo za Kisemiti zilikuwa zikitumika katika nchi za [[Mashariki ya Kati]]. Kiarabu ambayo tarehe yake inarudi nyuma zaidi ya miaka 2000 ni lugha kubwa yenye misamiati mengi sana na utajiri mkubwa wa maneno na misemo. Lugha Fasihi ilianza kuwa na nguvu zaidi baada ya kuteremshwa Qurani kwa lugha hiohiyo na kuhifadhiwa Hadithi za Mtume Muhammad na kuwa ndio chanzo cha lugha zote nyinginezo za Kiarabu zilizokuweko wakati huo.
 
[[Fasihi]] ya Kiarabu isiyo na tabia ya kidini ilikuwa hasa [[Ushairi]]. Washairi kama [[Abu Nuwas]], [[Omar Khayyam]], [[Hafiz]], [[ibn Qayyim al-Jawziyyah]] kukumbukwawanakumbukwa hadi leo. Masimulizi kama [[Alfu Lela U Lela]] hayakuwa fasihi yenyewe, hata kama yamepata maarufuumaarufu katika nchi za Ulaya.
 
Maandishi mengine ya Kiarabu yaliyokuwa muhimu sana ni maandiko ya [[falsafa]] na [[sayansi]]. Waarabu walitafsiri maandiko ya [[Wagiriki wa Kale]] wakaendeleza [[ujuzi]] wao. Katika [[karne]] zilizopita Ulaya ilipokea sehemu kubwa ya [[elimu]] yake kutoka kwa Waarabu kwa njia hiyo.
 
Tangu [[karne ya 19]] na katika [[karne ya 20]] [[fasihi ya Kiarabu]] imepata uamsho mkuu. [[Khalil Jibran]] wa [[Lebanon]] yuko kati ya washairi wanaosomwa zaidi kimataifa. [[Nagib Mahfuz]] wa [[Misri]] ni mwandishi Mwarabu wa kwanza aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka [[1988]].
 
==Viungo vya nje==
Line 49 ⟶ 56:
[[Jamii:Lugha za Tunisia]]
[[Jamii:Lugha za Syria]]
[[Jamii:Lugha za Saudia]]
[[Jamii:Lugha za Yemen]]
[[Jamii:Lugha za Oman]]
[[Jamii:Lugha za Falme za Kiarabu]]
[[Jamii:Lugha za Katar]]
[[Jamii:Lugha za Bahrein]]
[[Jamii:Lugha za Kuwait]]
[[Jamii:Lugha za Somalia]]
[[Jamii:Lugha za Chad]]
[[Jamii:Lugha za Israel]]
[[Jamii:Lugha za Palestina]]
[[Jamii:Lugha za Komoro]]