MS Oasis of the Seas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'je, wajua KUWA MELI AINA YA MV.OASIS of THE SEA NDIO MELI KUBWA YA ABILIA DUNIANI....'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Meli ya abiria iliyo kubwa zaidi duniani''' ni [[manovari]] "Oasis of the Sea". Hiyo ni [[meli]] kubwa na imara iliyoundwa kiufundi na kwa kutumia mifumo ya uundaji meli ya kisasa.
je, wajua KUWA MELI AINA YA MV.OASIS of THE SEA NDIO MELI KUBWA YA ABILIA DUNIANI. hii ni meli kubwa na imara iliyoundwa kiufundi na kwa kutumia mifumo ya uundaji meli ya kisasa ,meli hii inauwezo wa kubeba abilia mara tano zaidi ya meli ile ya mv.TITANIC iliyozama aada ya kutokea itilaf za kiufundi, mei ihi inasadikika kuwa na mabo yafuatayo., .1.hoteli za kifahali zipatazo 69 ,hoteli hizo zinzuwezo wa kupakia vyakula vya kwajili ya wateja wake kwa muda a siku zipatazo tatu [03] jmbo ambalo ni la nadra kupata kutokea na kuwapo . .2.gari moshi dogo[treni],gari moshib ili liauwezo wa kutembea ,kuzunguka ndni ya meli hiyo na kupunguza msongamano wa hapa na pale ndani ya meli hiyo., .3.meli ndogo 18 za kuokolea [life boat] pamoja na kuwepo kwa ukubwa wa meli hiyo kumezingatia uwepo wa kuyajali maisha ya mwanadamu ivo kila boti ndogo ya wokozi ina uwezo wa kuokoa bila shida idadi ya abilia 90 hadi 100 bila kuwapo shida na usumbufu wowote ule kujitokeza. .4.viwanja vya aina zote za mpila ikiwemo.,mpila wa mguu, kikapu, pete, nk.
 
Meli hii ina uwezo wa kubeba abiria mara tano zaidi ya meli "Titanic" iliyozama baada ya kutokea hitilafu za kiufundi.
 
Meli hii inasadikika kuwa na mambo yafuatayo:
*1. hoteli za kifahari zipatazo 69, hoteli hizo zina uwezo wa kupakia vyakula kwa ajili ya wateja wake kwa muda wa siku zipatazo tatu [03], jambo ambalo ni la nadra kupata kutokea na kuwapo.
*2. gari moshi dogo ([treni]), gari moshi hili lina uwezo wa kutembea, kuzunguka ndani ya meli hiyo na kupunguza msongamano wa hapa na pale ndani ya meli hiyo.
*3. meli ndogo 18 za kuokolea (life boat) pamoja na kuwepo kwa ukubwa wa meli hiyo kumezingatia uwepo wa kuyajali maisha ya [[mwanadamu]] hivyo kila [[boti]] dogo la wokozi lina uwezo wa kuokoa idadi ya abiria 90 hadi 100 bila kuwapo shida na usumbufu wowote ule kujitokeza.
*4. viwanja vya aina zote za mpira, ikiwemo mpira wa mguu, wa kikapu, wa pete, n.k.
 
[[Jamii:Meli]]