John Knox : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Jonh knox hadi John Knox: usahihi wa tahajia
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Knox, John.jpeg|thumb|right|upright|John Knox alivyochorwa mwaka 1572.]]
'''John Knox''' ([[1513]] hivi – [[24 Novemba]] [[1572]]) alikuwa [[Uskoti|Mskoti]] mwenye [[akili]] kali, [[mwanateolojia]], na [[mwandishi]] ambaye alikuwa kiongozi wa [[madhehebu]] ya [[Wapresbiteri]] yaliyoenea nchini [[Uskoti]] katika [[karne ya 16]].