Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Almasimagorwa (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na CYl7EPTEMA777
Mstari 260:
 
=== Dini ===
[[File:Cathedral of Arusha.jpg|thumb|250px|Kanisa kuu la Arusha]]
{{Main|Dini nchini Tanzania}}
Nchi haina [[dini rasmi]] na [[katiba]] ya Tanzania inatangaza [[uhuru wa dini]] kwa wote. Mara nyingi idadi ya wafuasi wa [[dini]] hutajwa kuwa theluthi moja [[Uislamu|Waislamu]], theluthi moja [[Ukristo|Wakristo]] na theluthi moja wafuasi wa [[dini za jadi]]. Lakini tangu [[uhuru]] swali la dini ya wananchi halijaulizwa tena katika [[sensa]], kwa hiyo kadirio la theluthi-theluthi inawezekana ni zaidi azimio la kisiasa.