Mawese : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 4:
 
== Mawese kutokana na nyama ya tunda ==
Kuna aina mbili za mawese; mawese hasa hutolewa na nyama ya tunda ina rangi nyekundu na vitamini nyingi. Inatumika kama mafuta ya kupikia ama moja kwa moja ikitolewa na wakulima wenyewe na kuonyesha rangi nyekundu. Kama mawese inatengenezwa kibiashara kiwandani rangi inaondolewa kwa njia ya kusafisha mafuta kwenye vichujio. Baada ya kusafishwa huwekwa kwenye makopo au chupa na kuuzwa madukani au kupelekwa nje. Mafuta haya yanatumika pia viwandani kwa kutengeneza majarini, [[sabuni]], [[mishumaa]], mafuta ya kupakaa kwenye mwili na aina mbalimbali ya madawama[[dawa]] na urembaji.
 
=== Dizeli ya mawese ===
Mawese hutumika pia kiteknolojia na miaka ya nyuma kwa kutengeneza [[dizeli]]. Hasa nchini [[Malaysia]] tekonolojia hii imesogea mbele. Malaysia inajaribu kupunguza gharama za kununua petroli na diselidizeli kwa kutengeneza kiwanda kikubwa cha kusafisha mawese kuwa dieselidizeli. Sheria ya Malaysia inadai kuanzia mwaka 2007 ya kwamba kila dieseli inayouzwa nchini iwe na 5% diselidizeli ya mawese.
 
== Mawese kutokana na kiini cha tunda ==