Puducherry : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing "Flag_of_Pondicherry_Union_Territory.png", it has been deleted from Commons by Revent because: per c:Commons:Deletion requests/Files created by Shaan Lollywood.
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of Pondicherry Union Territory.png|thumb|]]
[[Picha:Puducherry in India (disputed hatched).svg|thumb|300px|Maeneo ya Pondicherry nchini Uhindi]]
[[Picha:Pondichery Panneau2.jpg|thumb|300px|Ubao mwenyewenye jina la mtaa kwa Kifaransa na Kitamili]]
'''Puducherry''' (inayojulikana kimataifa zaidi kama '''Pondicherry''') ni eneo maalumu la kitaifa nchini [[Uhindi]]. Ndani yake kuna maeneo madogo manne ya pekee yanayohesabiwa kwa pamoja kama eneo la kitaifa au Union Territory. Hizi sehemu nne ni Pondicherry, Karaikal, Yanam na Mahé. Zilikuwa koloni ndogo za [[Ufaransa]] katika Uhindi zilizokaa pekee na [[Uhindi wa Kiingereza]] zikakabidhiwa na Ufaransa kwa Uhindi huru mwaka 1962. Kimsingi kila sehemu ni mji mdogo wa pwani na mazingira kidogo karibu nao.
 
Hizo sehemu nne ni [[Pondicherry]], [[Karaikal]], [[Yanam]] na [[Mahé]]. Yalikuwa [[Koloni|makoloni]] madogo ya [[Ufaransa]] katika Uhindi, yaliyokaa pekee na [[Uhindi wa Kiingereza]], yakakabidhiwa na Ufaransa kwa Uhindi huru mwaka [[1962]]. Kimsingi kila sehemu ni [[mji]] mdogo wa [[pwani]] pamoja na mazingira kidogo karibu nao.
Jumla ya maeneo yote ni 493 [[km²]]; kati ya sehemu nne Pondicherry (290 km²) na Karaikal (160 km²) zimezungukwa na eneo la jimbo la [[Tamil Nadu]]; Yanam (20 km²) liko ndani ya eneo la jimbo la [[Andhra Pradesh]] na [[Mahé]] (9 km²) imezungukwa na jimbo la [[Kerala]].
 
Jumla ya maeneo yote ni 493 [[km²]] 493; kati ya sehemu nne Pondicherry (290 km² 290) na Karaikal (160 km² 160) zimezungukwa na eneo la jimbo la [[Tamil Nadu]]; Yanam (20 km² 20) liko ndani ya eneo la jimbo la [[Andhra Pradesh]] na [[Mahé]] (9 km² 9) imezungukwa na jimbo la [[Kerala]].
Lugha rasmi za Pondicherry zinategemea lugha kuu ya mazingira ya kila sehemu: kwa Pondicherry na Karakal ni [[Kitamil]], kwa Yanam ni [[Kitelugu]] na na kwa Mahe ni [[Kimalayalam]]. [[Kifaransa]] bado ni lugha rasmi lakini haitumiki sana hali halisi serikali inafanya kazi kwa kutumia [[Kiingereza]].
 
[[Lugha rasmi]] za PondicherryPuducherry zinategemea [[lugha]] kuu ya mazingira ya kila sehemu: kwa Pondicherry na Karakal ni [[Kitamil]], kwa Yanam ni [[Kitelugu]] na na kwa Mahe ni [[Kimalayalam]]. [[Kifaransa]] bado ni lugha rasmi lakini haitumiki sana: hali halisi [[serikali]] inafanya kazi kwa kutumia [[Kiingereza]].
 
{{India}}