Puducherry : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of Pondicherry Union Territory.png|thumb|]]
[[Picha:Puducherry in India (disputed hatched).svg|thumb|300px|Maeneo ya Pondicherry nchini Uhindi]]
[[Picha:Pondichery Panneau2.jpg|thumb|300px|Ubao wenye jina la mtaa kwa Kifaransa na Kitamili]]
'''Puducherry''' (inayojulikana kimataifa zaidi kama '''Pondicherry''' kama ilivyokuwa hadi mwaka [[2006]]) ni eneo maalumu la kitaifa nchini [[Uhindi]]. Ndani yake kuna maeneo madogo manne ya pekee yanayohesabiwa kwa pamoja kama eneo la kitaifa au Union Territory.
 
Hizo sehemu nne ni [[Pondicherry]], [[Karaikal]], [[Yanam]] na [[Mahé]]. Yalikuwa [[Koloni|makoloni]] madogo ya [[Ufaransa]] katika Uhindi kusini, yaliyokaa pekee na [[Uhindi wa Kiingereza]], yakakabidhiwa na Ufaransa kwa Uhindi huru mwaka [[1962]]. Kimsingi kila sehemu ni [[mji]] mdogo wa [[pwani]] pamoja na mazingira kidogo karibu nao.
 
Jumla ya maeneo yote ni [[km²]] 493492; kati ya sehemu nne Pondicherry (km² 290) na Karaikal (km² 160) zimezungukwa na eneo la jimbo la [[Tamil Nadu]]; Yanam (km² 20) liko ndani ya eneo la jimbo la [[Andhra Pradesh]] na [[Mahé]] (km² 9) imezungukwa na jimbo la [[Kerala]].
 
Wakazi wote ni 1,244,464 ([[2011]]).
 
[[Lugha rasmi]] za Puducherry zinategemea [[lugha]] kuu ya mazingira ya kila sehemu: kwa Pondicherry na Karakal ni [[Kitamil]], kwa Yanam ni [[Kitelugu]] na kwa Mahe ni [[Kimalayalam]]. [[Kifaransa]] bado ni lugha rasmi lakini haitumiki sana: hali halisi [[serikali]] inafanya kazi kwa kutumia [[Kiingereza]].