Kikyrili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
alfabeti
No edit summary
Mstari 1:
'''Kikyrili''' ni aina ya [[mwandiko]] au [[alfabeti]] inayotumiwa kuandika [[lugha]] mbalimbali za [[Ulaya ya Mashariki]] na [[Asia ya Kati]], kwa mfano [[Kirusi]], [[Kiserbia]], [[Kitajiki]].

Jina limetokana na [[mmonaki]] na mtalaamu [[Mgiriki]] [[Kyrilo wa Saloniki|Mt. Kyrilo]] ([[827]] - [[14 Februari]] [[869]]) aliyesemekana aliunda namna hiyo ya mwandiko kwa ajili ya [[lugha za Kislavoni]] pamoja na mwenzakemdogo wake [[Mt. Methodio]].
 
== Mwandiko kwa ajili ya lugha za Kislavoni ==
Hali halisi hawakuanzisha aina hii ya alfabeti lakini waliendeleza namna ya kuiandika iliyosaidia kusambaza mwandiko kati ya mataifa wasemaji wa lugha za Kislavoni. Lugha hizihizo zina [[sauti]] kadhaa ambazo hazina [[herufi]] katika alfabeti ya [[Kilatini]]. (Mwandiko wa Kilatini hutumiwa siku hizi kwa lugha nyingi [[duniani]], piazikiwa pamoja na [[Kiswahili]] na [[wikipedia]] hii.)
 
Kuna lugha za Kislavoni, kama vile [[Kipoland]], Kiceki,[[Kicheki]] na [[Kikroatia]], zinazoandikwa kwa [[alfabeti ya Kilatini]], lakini hapo kuna [[alama]] za nyongeza kwa ajili ya sauti za pekee za lugha za Kislavoni kwa mfano: "Č" kwa sauti ya "tsh" au "Ž" kwa aina ya "sh laini".
 
Alfabeti za Kikyrili zinatofautiana kiasi kati ya lugha na lugha; kuna namna tofauti za kuandika sauti ileile au pia herufi za pekee kwa ajili ya sauti za pekee katika lugha fulani. Alfabeti inayotumiwa na watu wengi ni ya Kirusi inayoonyeshwa hapa.
Line 17 ⟶ 19:
 
== Mwandiko wa lugha za Kiasia ==
Kutokana na athira ya [[Urusi]] katika Asia ya katiKati kuna pia lugha mbalimbali za Kiasia ambazo zinaandikwa kwa mwandiko wa Kikyrili tangu [[karne ya 19]] au mwanzo wa [[karne ya 20]]. Nchi zinazohusuzinazohusika zilikuwa ama sehemu za [[Umoja wa Kisovyet]] au nchi jirani kama [[Mongolia]].
 
Lugha kadhaa za Kiasia zinazoandikwa siku hizi kwa alfabeti za Kikyrili ni:
* [[Kikazakhi]]
* Kikazakhstan
* [[Kikirgizi]]
* Kikirgizistan
* [[Kimari]]
* [[Kimongol]]
* Kimongolia
* [[Kitajiki]]
* Kitajikistan
* [[Kichecheni]]
* Kichechenia
* [[Kiturkmeni]]
* Kiturkmenistan
* [[Kiuzbeki]]
* Kiuzbekistan
 
=== Mfano wa alfabeti ya Kirusi ===
Line 106 ⟶ 108:
[[Jamii:Mwandiko]]
[[Jamii:Lugha]]
[[Jamii:Lugha za Kislavonia]]