Moroko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Filefix
No edit summary
Mstari 56:
Imepakana na [[bahari]] za [[Atlantiki]] na [[Mediteranea]]; upande wa [[bara]] imepakana na [[Algeria]] na [[Mauretania]].
 
Maeneo ya [[Hispania|Kihispania]] ya [[Ceuta]] na [[Melilla]] yanazungukwayamezungukwa na Moroko kwenye pwani ya Mediteranea.
 
Mpaka wa kusini haueleweki vizuri kwa sababu Moroko inadai ya kwamba [[Sahara ya Magharibi]] ni sehemu ya eneo lake, hali isiyokubaliwa na jumuiya ya kimataifa tangu Moroko ilipovamia Sahara ya Kusini mwaka [[1975]].