Zohali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Marejeo: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} (12) using AWB (10903)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 45:
 
== Bangili za Zohali ==
Tabia ya pekee ya Zohali ni bangili zake. Mtu wa kwanza wa kuziona alikuwa [[Galileo Galilei]] alipolengaalipoielekeza darubini yake kwakuelekea sayari hiyo. Lakini GalileiGalileo alishindwa kutmabuakutambua alichoona kutokana na kasoro za darubini yake. Aliandika wakati ule ya kwamba Zohali ilikuwa na "masikio". Mwaka 1655 Mholanzi [[Christiaan Huygens]] aliweza kutumia darubini kubwa zaidi akatambua masikio ya Galilei kuwa bangili inayozunguka sayari.
 
Siku hizi imejulikana ya kwamba bangili ni vipande vya barafu, vumbi bana mawe. Vipande vyake vina ukubwa kati ya [[milimita]] chache hadi mita kadhaa kama motokaa. Unene wa bangili ni mita mamia kadhaa.
 
==Marejeo==