Tofauti kati ya marekesbisho "Mwamba (jiolojia)"

407 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (→‎Utamaduni: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|sv}} using AWB (10903))
[[PichaFile:LoganDirkvdM Rock from belowrocks.jpg|Right|thumb|Graniti ni mwamba wa kivolkenoMiamba.]]
[[Picha:Logan Rock from below.jpg|thumb|Graniti ni mwamba wa kivolkeno.]]
'''Mwamba''' katika [[jiolojia]] ni namna ya kutaja [[mawe]] au zaidi mchanganyiko au mkusanyiko wa mabao ya aina moja au zaidi ya [[madini]] ulio imara katika hali asilia. Jiwe ni kipande cha mwamba.
 
Takriban madini 30 hufanya sehemu kubwa ya miamba ya [[dunia]], ni hasa [[silikati]] na [[kabonati]].
 
== Aina ya miamba ==
 
== Utamaduni ==
Miamba imekuwa ikitumiwa na [[binadamu]] katika [[historia]] yake yote. Hivyo mwamba ni muhimu katika [[utamaduni]] wa watu. Madini na [[metali]] zinazopatikana katika miamba zimekuwa muhimu katika kustaarabika kwa binadamu.
Mwamba ni muhimu katika utamaduni wa watu. Kihistoria vifaa vya kwanza vya kudumu vilikuwa vifaa vya mawe yaliyokatwa kuwa visu, shoka au nyundo. Wakati wa [[zama za mawe]] watu walikuwa hodari kutengeneza vifaa vya aina nyingi kutokana na mwamba.
 
Mwamba ni muhimu katika utamaduni wa watu. Kihistoria vifaa vya kwanza vya kudumu vilikuwa vifaa vya mawe yaliyokatwa kuwa [[visu]], [[shoka]] au [[nyundo]]. Tangu [[zama za mawe]] miamba ilitumiwa na binadamu kama [[zana]]. Wakati wa [[zama za mawe]] watu walikuwa hodari kutengeneza vifaa vya aina nyingi kutokana na mwamba.
Vilevile katika ujenzi mataifa mbalimbali yalitumia mwamba au mawe kwa majengo yao.
 
Vilevile katika [[ujenzi]] mataifa mbalimbali yalitumia mwamba au mawe kwa majengo yao.
Mifano ya kale kabisa ya mwandiko ni mwandiko juu ya mwamba lakini kuna uwezekano ya kwamba watu walitumia pia ubao au kitu kingine lakini miandiko hii haikudumu na kutunzwa hadi leo.
 
Mifano ya kale kabisa ya [[mwandiko]] ni mwandiko juu ya mwamba: lakiniingawa kuna uwezekano yawa kwamba watu walitumia pia [[ubao]] au kitu kingine lakini miandiko hii haikudumu na kutunzwa hadi leo.
Mawe ya thamani kama almasi hutafutwa na watu yakipendeza.
 
Mawe ya thamani kama [[almasi]] hutafutwa na watu yakipendezakwa kuwa yapendeza.
 
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Jiolojia|!]]