Sisilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sicilia-Bandiera.png|left|80px|[[Bendera]] ya Sisilia.]]
[[Picha:Provinces of Sicily map.png|thumb|350px|Mikoa ya Sisilia.]]
'''Sisilia''' (kwa [[Kiitalia]] '''Sicilia''') ni [[kisiwa]] kikubwa cha [[Italia]] na cha [[bahari]] ya [[Mediteranea]] yote, ikiwa na eneo la [[kilomita mraba]] 25711.
 
Iko [[kusini]] kwa [[rasi ya Italia]], ng'ambo ya [[mlangobahari wa Messina]].
 
Sisilia pamoja na visiwa vidogo vya jirani ni pia [[mkoa]] wa nchi wenye katiba ya pekee.
 
[[Idadi]] ya wakazi ni watu mnamo 5.087.000,077,487 ([[20042015]]), ambao kati yao 98[[%]] ni [[raia]] wa Italia.
 
[[Mji mkuu]] ni [[Palermo]] (wakazi 677,854).
 
== Wilaya ==