Lugha ya kuundwa : Tofauti kati ya masahihisho

25 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Link FA now hanlded in Wikidata using AWB (10783))
No edit summary
'''Lugha ya kuundwa''' (au '''lugha unde''') ni [[lugha]] ambayo msamiatimisamiati na [[sarufi]] zake zimetungwa na [[watu]] badala ya kukua kama sehemu ya [[utamaduni]] wa [[umma]] fulani. Kwa kawaida zinaundwa kwa ajili ya kuwasiliana kati ya watu sawasawa na [[lugha asilia]]. Nyingi zinatengenezwa ili kuwa [[lugha saidizi ya kimataifa|lugha saidizi za kimataifa]], lakini nyingine zinaundwa kwa ajili ya usiri au majaribio ya [[isimu]] au bila sababu fulani.
 
Lugha ya kuundwa inayozungumzwa zaidi ni [[Kiesperanto]].
 
Mara chache '''lugha ya kuundwa''' maana yake ni lugha za [[kompyuta]] au za kuandaa [[programu]] (angalia [[lugha asilia]]). Kwa sababu ya [[utata]] huo watu wengi, hasa [[Kiesperanto|Waesperanto]], hawapendi kutumia neno ''lugha ya kuundwa'', na badala yake wanasema ''[[lugha ya kupangwa]]''. Msemo ''lugha ya kupangwa'' unatumika kwa lugha zile tu ambazo ziliungwaziliundwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu, kama [[Kiesperanto]].
 
== Marejeo ==