John Malecela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
'''John Samuel Malecela''' (amezaliwa [[1934]]) ni mwanasiasa kutoka nchi ya [[Tanzania]]. Baadhi ya kazi mbalimbali ya kisiasa, alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje (1972-73) na Mkuu wa [[Mkoa wa Iringa]] (1980-84). Kuanzia tarehe [[9 Novemba]] [[1990]] hadi tarehe [[7 Desemba]] [[1994]] alikuwa [[Waziri Mkuu]] wa saba wa Tanzania.
 
==Viungo vya nje munuo==
* [http://www.pmo.go.tz/biography.php?cat=5&subcat=18 Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Tanzania kuhusu Waziri Wakuu waliopita]