Vladimir Lenin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|el}} (4) using AWB (10903)
kuongeza kutoka en:Vladimir Lenin
Mstari 2:
[[Picha:Red square kremlin.jpg|thumb|right|250px|Kaburi la Lenin mbele ya ukuta wa Kremlini mjini [[Moskva]]]]
 
'''Vladimir Ilyich Lenin''' (Влади́мир Ильи́ч Ле́нин) alikuwa na jina la kiraia '''Vladimir Ilyich Ulyanov''' (Влади́мир Ильи́ч Улья́нов) (*[[10 Aprili]] ([[22 Aprili]] ya [[kalenda ya Gregori]]) [[1870]] - + [[21 Januari]] [[1924]]) alikuwa mwanasiasa nchini [[Urusi]] na kiongozi wa chama cha [[Bolsheviki]] akaendesha awamu la [[Ukomunisti|kikomunisti]] la [[Mapinduzi ya Urusi ya 1917]] akaanzisha [[Umoja wa Kisovyeti]]. Mafundisho yake yalikuwa msingi wa itikadi ya [[Ulenin]].
 
Lenin alizaliwa katika familia tajiri katika mji wa Simbirsk, (sasa unaitwa [[Ulyanovsk]]), Lenin alianza kupendelea mapinduzi baada ya [[Aleksandr Ulyanov|kaka yake]] kuuliwa mawaka wa 1887. Alifukuzwa kutoka [[Chuo Kikuu cha Kazan]] kwa maandamano ya kuipinga serikali ya Tsar.
 
Alianza kutumia jina la "Lenin" kama jina la siri alipojiunga na upinzani dhidi ya serikali ya kifalme ya Kirusi. Hakuna uhakika kama alilitumia kama kumbukumbu kwa mlezi wake alipokuwa mtoto au kutokana na [[mto Lena]] katika jimbo la [[Siberia]] alipohamishwa ufungoni [[1897]] baada ya kushiriki katika upinzani dhidi ya serikali.