Pijini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Pijini na krioli: Editing a word nja to njia and a wanormani to waromani
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 6:
Lugha za Pijini ni lugha za nyongeza, si [[lugha ya mama]]. Inawezekana ya kwamba matumizi ya pijini yanaimarika hadi kutumiwa ndani ya familia na kuwa lugha ya kwanza kwa watoto, na hapo inaitwa lugha ya [[Krioli]]. Kumetokea ya kwamba krioli inaendela kutumiwa na kujengwa hadi kuwa lugha kamili.
 
Kuna lugha mbalimbali zilizoanzishwa kwa njanjia hii. Chanzo cha Kiswahili kinadhaniwa kilikuwa hapohapo. Kuna wataalamu wanaoona hata [[Kiingereza]] kilianza kama pijini au krioli wakati wa uvamizi wa WanormaniWaromani miaka 1000 iliyopita.
 
==Tazama pia==