Wambugwe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3892618 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Wambugwe''' (au ''Wambowe'') ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Manyara]] na hata katika [[mkoa wa Arusha]].
Kabila la Wambugwe ni wa jamii ya [[Wabantu]] na inasemekana walitokana na [[Warangi]]. [[Lugha]] yao ni [[Kimbugwe]] na inafanana na [[Kirangi]].
Mwaka [[1999]] walikadiriwa kuwa 24,000. Wengi wao ni [[wafugaji]] na [[wakulima]].
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Mbugwe}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Manyara]]
[[Jamii:Wilaya ya Babati]]
|