Moyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 48:
[[File:CG Heart.gif|alt=Computer generated animation of a beating human heart|thumb|moyo wa mwanadamu ukipiga ]]
Baadaye misuli inalegea mahali ilipojikaza. Vali inafunguka na damu kutoka vena inaweza kuingia na kujaza chumba cha moyo. Shindikizo ya damu kutoka vena inapanusha chumba tena mpaka kujaa. Sasa vali ya kuingia inafungwa, chumba kinajikaza tena na vali ya kutoka inafunguliwa.
[[File:Latidos.gif|thumb|left|mzunguko wa damu kuoitia valvu]]
 
Mwendo huu wa kujikaza unasikika kama "pigo la moyo".