Tofauti kati ya marekesbisho "Kipindupindu"

2 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
'''Kipindupindu''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''cholera'' kutoka neno la [[Kigiriki]] χολέρα, kholera, lililotokana na χολή, kholē, [[nyongo]]) ni [[ugonjwa]] hatari unaosababishwa na [[bakteria]] hasa katika [[utumbo mwembamba].Bakteria hao huitwa [(vibriocholerae)]ambao huweza kusababisha [[kuhara]] sana na [[kutapika]] sana pamoja na [[homa]] kali. Kuambukizwa hutokea hasa kupitia [[maji]] au vyakula vilivyochafuliwa na wadudu kama vile nzi. Wadudu kama vile nzi huweza kuchafua vyakula hivyo endapo vyakula hivyo vitaachwa wazi bila kufunikwa na chombo chochote na kusababisha nzi hao kutua juu ya vyakula hivyo na kuacha bakteria watakao sababisha ugonjwa wa kipindupindu kwa mtu yule atakaye kula chakula kile. Kiwango cha kuhara na kutapika kinaleta upungufu wa maji na uwiano wa [[chumvi]] mwilini. Baada ya dalili hizo kutokea kuna hatari ya [[kifo]] kwa [[asilimia]] 20 - 70 ya wagonjwa kama hawana [[tiba]].
Tanzania tunaweza kujilinda na kipindupindu endapo tukajilinda na vitu vifuatavyo ambavyo ni kunywa maji safi na salama na kula chakula kisicho poa. Bila kusahau kusafisha maeneo yote yanayo mzunguka kiumbe hai hasa binadamu. Nchini TANZANIA yatupasa kufanya usafi katika mikoa yetu yote hasa mkoani DaresalaamDar es alaam ambako kunashutumiwa sana kuwa ni mkoa mchafu.
[[Picha:Cholera bacteria SEM.jpg|thumb|right|Bakteria wa ''Vibrio cholerae'']]<ref name=Sherris>
2

edits