Kipindupindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kipindupindu''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''cholera'' kutoka neno la [[Kigiriki]] χολέρα, kholera, lililotokana na χολή, kholē, [[nyongo]]) ni [[ugonjwa]] hatari unaosababishwa na [[bakteria]] hasa katika [[utumbo mwembamba]]. Bakteria haohizo ambazo huitwa [(''vibriocholerae)]ambao'' huweza kusababisha [[kuhara]] sana na [[kutapika]] sana pamoja na [[homa]] kali. Kuambukizwa

Maambukizi hutokea hasa kupitia [[maji]] au [[vyakula]] vilivyochafuliwa na [[wadudu]] kama vile [[nzi]]. Wadudu kama vile nzihao huweza kuchafua vyakula hivyo endapo vyakula hivyo vitaachwa wazi bila kufunikwa na chombo chochote na kusababishakuvutia nzi hao kutua juu ya vyakula hivyo na kuacha bakteria watakao sababishazitakazosababisha ugonjwa wa kipindupindu kwa [[mtu]] yule atakaye kulaatakayekula chakula kile.

Kiwango cha kuhara na kutapika kinaleta upungufu wa maji na uwiano wa [[chumvi]] [[Mwili|mwilini]]. Baada ya [[dalili]] hizo kutokea kuna hatari ya [[kifo]] kwa [[asilimia]] 20 - 70 ya wagonjwa kama hawana [[tiba]].
 
Tanzania tunawezaTunaweza kujilinda na kipindupindu endapo tukajilinda na vitu vifuatavyo ambavyo ni kunywa [[Maji salama|maji safi na salama]] na kula chakula kisicho poakisichopoa. Bila kusahau kusafisha maeneo yote yanayo mzungukayanayomzunguka [[kiumbe hai]], hasa [[binadamu]]. Nchini TANZANIA yatupasaYatupasa kufanya [[usafi]] katika mikoa yetu yote, hasa mkoani Dar es alaam[[Jiji|majijini]] ambako kunashutumiwa sana kuwa ni mkoa mchafumachafu.
[[Picha:Cholera bacteria SEM.jpg|thumb|right|Bakteria wa ''Vibrio cholerae'']]<ref name=Sherris>
Line 19 ⟶ 24:
| isbn = 978-1-904455-33-2
}}</ref>
[[Picha:Distribution of the cholera.PNG|thumbnail|250px|Kutokea kwa kipindupindu duniani;. Nyekundu: kinatokea mara kwa mara; Njano: kinatokea mara kadhaa; Nyeupe: kinatokea mara chache .]]
==Ambukizo==
Kipindupindu husababishwa na bakteria aina ya [[Vibrio cholerae]] zinazosababisha kuhara majimaji yenye rangi kama maji ya kupikia [[mchele]]. Bakteria hiyo ilitambuliwa mwaka [[1854]] na [[Filippo Pacini]]. [[Robert Koch]] alifaulu mwaka [[1883]] kufuga bakteria kutokana na [[utumbo]] wa wagonjwa waliokufa kwa kipindupindu huko [[Misri]].
 
[[Robert Koch]] alifaulu mwaka [[1883]] kufuga bakteria kutokana na [[utumbo]] wa watu waliokufa kwa kipindupindu huko [[Misri]].
Kipindupindu hutokea hasa katika nchi pasipo maji safi hasa ambako maji ya kunywa na majimaji ya [[choo]] yanaweza kuchanganyikana. Bakteria ya vibrio cholerae hupatikana hasa katika [[mavi]] na maji ya choo na pia katika maji ya [[bahari]], ma[[ziwa]] na mito kama maji machafu huingizwa katika ma[[gimba]] ya maji bila kusafishwa kwanza.
 
Kipindupindu hutokea hasa katika nchi pasipo maji safi, hasa ambako maji ya kunywa na majimaji ya [[choo]] yanaweza kuchanganyikana. Bakteria ya vibrio cholerae hupatikana hasa katika [[mavi]] na maji ya [[choo]] na pia katika maji ya [[bahari]], ma[[ziwa]] na [[mito]] kama maji machafu huingizwa katika ma[[gimba]] ya maji bila kusafishwa kwanza.
 
Vilevile [[samaki]] na vyakula vingine kutoka maji yenye bakteria vinachafuliwa na vinaweza kusababisha [[ambukizo]]. Vilevile vyakula vinavyooshwa kwa maji yaliyochafuliwa na bakteria ya kipindupindu.
 
Katika [[mazingira]] yenye maji ya [[bomba]], yaliyosafishwa nayaliyopitia [[karakana]] ya kusafisha maji machafu, kipindupindu hutokea mara chache tu. Kujulikana kwa njia za kuambukizwa kulikuwa sababu ya kuanzishwa na kugharamiwa kwa [[teknolojia]] hizo katika nchi nyingi.
 
== Matibabu ==
Line 50 ⟶ 57:
 
== Kuepukana na Kipindupindu ==
 
Kinga ni kama ifuatavyo:
* wakati wowote kunawa mikono kabla ya kutayarisha au kula chakula, kusafisha vyombo kama [[sahani]], [[vikombe]] n.k.
* Nawakunawa mikono kabisa kwa sabuni – kiganja, upande wa nyuma wa mkono, katikati ya vidole na kucha kwa sekunde. Baada ya haja na kabla ya kula.
* kuwa na [[akiba]] ya maji yaliyochemshwa pasipo na maji safi ya bomba
* kupika [[chakula]] vizuri maana [[halijoto]] juu ya 75 °C (hadi 85 mlimani) inaua bakteria;
Line 62 ⟶ 68:
* mikono inayoshika wagonjwa au [[nguo]] zao inapaswa kunaniwa kwa [[sabuni]]
* mashimo ya choo yanapaswa kutiwa dawa za kuua bakteria kwa kutumia [[klorini]]
* Tumia maji yaliyotibiwa pekee hasa ikiwa ni ya kunywa; yachemshe au utie matone 5 ya [[klorini]] kwa kila [[galoni]] 1 au utumie dawa ya kutakasa maji. Yaache maji yatulie kwa [[dakika]] 30 kabla ya kunywa.
* Tumia choo kila mara – usiende haja karibu au ndani ya chanzo cha maji.
 
Line 68 ⟶ 74:
Mnamo miaka [[1816]]-[[1826]] kulikuwa na '''[[janga]] la kwanza la kipindupindu''' mkoani [[Bengal]], nchini [[India]]. [[Waingereza]] 10,000 na [[Wahindi]] walikufa.<ref>[http://www.earlyamerica.com/review/2000_fall/1832_cholera_part1.html The 1832 Cholera Epidemic in New York State], By G. William Beardslee.</ref>
 
'''Janga la '''pili la kipindupindu''' lilikuwa mnamo [[1829]]-[[1851]] kilipoenea nchini [[Urusi]], [[Hungaria]], [[Ujerumani]] na [[Uingereza]]. Zaidi ya watu 55,000 walikufa kutokakatika Uingereza pekee.<ref>[http://www.ph.ucla.edu/EPI/snow/pandemic1826-37.html Asiatic Cholera Pandemic of 1826-37].</ref> Mwaka [[1831]], watu 150,000 walikufa kutokana na janga hili nchini [[Misri]].<ref>[http://whqlibdoc.who.int/bulletin/1947-1948/Vol1-No2/bulletin_1948_1(2)_353-381.pdf Cholera Epidemic in Egypt (1947)].</ref>
 
Mwaka [[1849]], kipindupindu kilizuka tena kwa mara ya pili mjini [[Paris]].<ref>[http://www.oocities.com/CapitolHill/Congress/2807/irishfamine.html The Irish Famine].</ref> Mjini [[London]] watu 14,137 walikufa.
Line 76 ⟶ 82:
Mnamo [[1991]]-[[1994]] kulikuwa na janga lingine huko [[Amerika Kusini]], lililosababishwa na [[meli]] iliyomwaga maji machafu. Nchini [[Peru]] watu takriban 10,000 waliuawa.
 
Mwaka [[2000]], wagonjwa 14,000 waliripotiwa kuugua kutokana na kipindupindu. Takriban 87[[%]] waliripotiwa kutoka [[bara]] la [[Afrika]].<ref>[http://www.worldwaterday.org/wwday/2001/disease/cholera.html Disease fact sheet: Cholera]. IRC International Water and Sanitation Centre.</ref>
 
Julai - Desemba [[2007]]: [[ukame]] wa [[maji salama]] kwa ajili ya kunywa nchini [[Irak]] ulisababisha tena janga la kipindupindu.<ref>{{cite news |first= |last= |authorlink= |author= |coauthors= |title=U.N. reports cholera outbreak in northern Iraq |url=http://www.cnn.com/2007/WORLD/meast/08/29/iraq.cholera/index.html |work= |publisher=CNN |id= |pages= |page= |date= |accessdate=2007-08-30 |quote= }}</ref> Watu 22 walifariki.<ref>[http://www.guardian.co.uk/world/2007/dec/02/iraq.davidsmith Cholera crisis hits Baghdad], The Observer, 2 Desemba 2007.</ref>
 
Mnamo Agosti [[2007]] jimboni [[Orissa]], [[India]], zaidi ya watu 2,000 walilazwa [[Hospitali|hospitalini]].<ref>[http://news.bbc.co.uk/2/hi/south_asia/6968281.stm Cholera death toll in India rises], BBC News.</ref>
 
Machi - Aprili [[2008]]: watu 2,490 walilazwa hospitalini nchini [[Vietnam]] kutokana na janga la kipindupindu.<ref>[http://www.who.int/cholera/countries/VietNamCountryProfile2008.pdf Cholera Country Profile: Vietnam]. WHO.</ref>
Line 101 ⟶ 107:
*[http://kenya.thebeehive.org/sw/content/124/965 Maelezo ya kipindupindu na namna za kujikinga kwenye beehive.com (swa.)]
 
[[Jamii:BiolojiaBakteria]]
[[Jamii:Maradhi ya kuambukiza]]
[[Jamii:Translators without Borders]]