Dalasini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Gome la mdalasini'''Mdalasini''' ni aina ya kiungo chenye harufu nzuri kilichokaushwa kutoka katika magome ya mmea wa...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Saigoncinnamon.jpg|thumb|Gome la mdalasini]]
'''Mdalasini''' ni aina ya [[kiungo]] chenye [[harufu]] nzuri kilichokaushwa kutoka katika [[magome]] ya [[mmea]] wa mdalasini,. inawezaInaweza kuviringishwa katika vipande au kusagwa kuwa ungaunga.
 
Kiungo hiki hutumika katika mapishi ili kuongeza ladha na kuleta harufu nzuri katika chakula.Licha ya kutumika kama kiungo katika vyakula mbalimbali pia hutumika kutengeneza [[chai]] ya mdalasini,iliyochanganywa na [[iriki]], hunywewa kama kinywaji moto huko [[India]] na [[Pakistan]]
Kiungo hiki hutumika katika [[mapishi]] ili kuongeza [[ladha]] na kuleta harufu nzuri katika [[chakula]].
 
Kiungo hiki hutumika katika mapishi ili kuongeza ladha na kuleta harufu nzuri katika chakula.Licha ya kutumika kama kiungo katika vyakula mbalimbali, pia hutumika kutengenezakutengenezea [[chai]] ya mdalasini, iliyochanganywa na [[iriki]], hunywewa kama [[kinywaji]] moto huko [[India]] na [[Pakistan]].
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Mimea]]
[[Jamii:Chakula]]