Tofauti kati ya marekesbisho "Figo"

2 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
d
no edit summary
d
'''Figo''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]] ambacho kazi yake ni cha kutatanisha: mafigo yanafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [[binadamu]]. Ila kazi yake ya juu ni ya kusawazisha [[maji]] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchuja hizo, pamoja na maji na [[mkojo]].
 
Kwa maana mafigo yameumbwa kuhisi ukolezi wa [[plazma]] ya ionsioni kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] ([[hewa]]) na msombo kama vile [[asidi amino]], creatininekreatini, bicarbonatebikaboneti na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha [[shinikizo la damu]], hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erthropoiesiserithropoesisi (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [[selidamu nyekundu]]).
 
[[Sayansi]] ichunguzayo mafigo na [[maradhi ya figo]] inaitwa [[nefrolojia]]. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa [[lugha]] ya [[Kigiriki cha kale]], "nefros (νεφρός)", kitambulishi "-a figo", maana yake kuchujia kumetoka kwa [[Kilatini]] ''rēnēs'' kumaanisha mafigo.