Dalasini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Saigoncinnamon.jpg|thumb|Gome la mdalasini.]]
'''Mdalasini''' (kwa [[Kiingereza]] ''Cinnamon'') ni aina ya [[kiungo]] chenye [[harufu]] nzuri kilichokaushwa kutoka katika [[magome]] ya [[miti]] mbalimbali (12 hivi) ya [[jenasi]] ya mdalasini katika [[familia]] ya [[Lauraceae]].<ref name=fao93>{{cite web |url=http://www.fao.org/docrep/x5326e/x5326e07.htm |title=International trade in non-wood forest products: An overview |author=Iqbal, Mohammed |year=1993 |work= FO: Misc/93/11 - Working Paper |publisher= Food and Agriculture Organization of the United Nations |accessdate=November 12, 2012}}</ref><ref>"Cassia, also known as cinnamon or Chinese cinnamon is a tree that has bark similar to that of cinnamon but with a rather pungent odour," {{cite book|last1=Bell|first1=Maguelonne Toussaint-Samat ; translated by Anthea|title=A history of food|date=2009|publisher=Wiley-Blackwell|location=Chichester, West Sussex, U.K.|isbn=978-1405181198|edition=New expanded}}</ref> Inaweza kuviringishwa katika vipande au kusagwa kuwa ungaunga.
'''Mdalasini''' ni aina ya [[kiungo]] chenye [[harufu]] nzuri kilichokaushwa kutoka katika [[magome]] ya [[mmea]] wa mdalasini. Inaweza kuviringishwa katika vipande au kusagwa kuwa ungaunga.
 
Kiungo hiki hutumika katika [[mapishi]] ili kuongeza [[ladha]] na kuleta harufu nzuri katika [[chakula]].
 
Licha ya kutumika kama kiungo katika vyakula mbalimbali, pia hutumika kutengenezea [[chai]] ya mdalasini, iliyochanganywa na [[iriki]], hunywewa kama [[kinywaji]] moto huko [[India]] na [[Pakistan]].
 
==Tanbihi==
 
{{mbegu}}