Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kidney section.jpg|thumb|right|Figo katika ''Gray's Anatomy''.]]
'''Figo''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]] ambacho kazi yake ni cha kutatanisha: mafigo yanafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [[binadamu]]. Ila kazi yake ya juukuu ni ya kusawazisha [[maji]] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchuja hizo, pamoja na maji na [[mkojo]].
 
Kwa maana mafigo yameumbwa kuhisi ukolezi wa [[plazma]] ya ioni kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] ([[hewa]]) na msombo kama vile [[asidi amino]], kreatini, bikaboneti na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha [[shinikizo la damu]], hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erithropoesisi (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [[selidamu nyekundu]]).
Mstari 11:
Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa [[Kiingereza]]), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo lolote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.
 
Mafigo yanapata [[damu chafu]] kwenye [[mkole wa tumbo]] ambayo imegawika katika matawi mawili, [[ateri]] moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha [[damu]] ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [[vena]] ya [[damu safi]], inayoelekea kwa [[vena kava]] ya chini ya kuendelea mpaka [[moyo]]ni. Damu safi inakadiri [[asimiliaasilimia]] 20-25 za uzalishaji wa moyo (cardiac out put).
 
{{mbegu-anatomia}}