Vivumishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Maandishi ya kooze'''{{ExamplesSidebar|35%|
*'Kuku yule ''''mweusi''' ametaga mayai kumi
*Askari '''magereza''' amepigwa na mfungwa
Mstari 5:
*Raia '''mwema''' amehama mtaa
}}
'''Kivumishi''' ni [[neno]]/maneno yanayotoa taarifa ya ziada katika [[nomino]]. Kivumishi hufanya kazi ya kufafanua/kuelezea zaidi kuhusu nomino ili kupambanua/kuitofautisha nomino husika miongoni mwa nomino nyingine.
 
[[Kiwakilishi]] ni aina ya maneno ambayo husimama kuwakilisha nomino. Kivumishi hutoa taarifa ya ziada kuhusu nomino, kiwakilishi (endapo nomino haipo) au kivumishi chenzake (endanpoendapo kuna kivumishivivumishi zaidi ya kimoja katika [[tungo]] husika).
;Mifano:
*Kijana '''yule''' ana tabia '''nzuri'''
*Majumba <u>kumi</u> yamevunjika
*Mawingu <u>meusi</u> yametanda angani
Mstari 26:
#[[Vivumishi vya jina kwa jina]]
 
Inafanana kabisa na orodha ya viwakilishi, tofauti yake ni hali ya [[nafsi]] tu. Yaani, hakuna kivumishi cha nafsi.
 
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]
*[[Viwakilishi]]
niana ya maneno ambayo husimama kuwakilisha nomino.
 
{{aina za maneno}}